Sometag Sometag

Some Social Media Adventures

Hamisi Taletale's Photos in @babutale Instagram Account

Hamisi Taletale's Photos in @babutale Instagram Account

Hamisi Taletale

@babutale

I have Masters in Street management/street smart Snapchat: 👻 babutale #GodfatherTale

Hamisi Taletale's Photos shared recently. Find All Instagram Photos and Other Media Types of Hamisi Taletale in babutale Instagram Account.

babutale's Media: 1895670154605684057_486440750

Share 0 0
babutale's Media: Asante Mungu tumefika salama India na tumefanya vipimo vyote upya salama na jibu lililotoka kwa wat

Asante Mungu tumefika salama India na tumefanya vipimo vyote upya salama na jibu lililotoka kwa wataalamu kwa asilimia 95% awajaona tatizo linalohusiana na ini kwa mgonjwa ila ni moyo ndio uliokua unapelekea mgonjwa kujaa maji mwilini ivyo basi kutaitajika kufanyika upasuaji mkubwa ambao utakua na uangalizi mkubwa wa wataamu then wametuakikishia baada ya hapo mgonjwa atapata nafuu na inawezekana izo 5% zilizobaki itakua poa na tatizo la ini alitokuwepo kikubwa tunaomba mtuombee dua na msiache kumuombea pia @diamondplatnumz apatenguvu ya kuendela kumsaidia kwa maana kutoa ni moyo. Kikubwa sana naomba tumuombee Hawa coz anaingia kwenye upasuaji mkubwa na hii ni atua ya yeye kua salama. Mungu tusimamie

Bangalore, India
Share 3.49K 31.8K

🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾

Innshallah 🙏

babutale's Media: Happy birthday Tresha Mungu akupe maisha marefu nipo mbali nikirudi deni letu linaisha bint yangu n

Happy birthday Tresha Mungu akupe maisha marefu nipo mbali nikirudi deni letu linaisha bint yangu nakupenda siwezi kusahau

Share 31 2.7K
babutale's Media: Brand New Joint from my Legend brother mbunge anaeongoza binadamu na wanyama @professorjaytz featur

Brand New Joint from my Legend brother mbunge anaeongoza binadamu na wanyama @professorjaytz featuring @harmonize_tz #yatapitait's Out Now....

Share 12 784

🤣🤣 Hatu.....!!!!!

babutale's Media: Hii kitu inaitaji moyo wa ziada asante mwalimu @shammytz naona nimeweza maana ilikua bado kidogo ni

Hii kitu inaitaji moyo wa ziada asante mwalimu @shammytz naona nimeweza maana ilikua bado kidogo nilale njaa

Bangalore, India
Share 36 1.43K
babutale's Media: Muda tunao sanaaaaa @tamir_mrkucheka @talejunior @rayvanny @kameboy_j

Muda tunao sanaaaaa @tamir_mrkucheka @talejunior @rayvanny @kameboy_j

Bangalore, India
Share 132 9.83K

😂😂😂😂😂😂😂

babutale's Media: Piripiri zinapalia ata ukienda kulikata nazo unasikia zinatoka🤣🤣🤣 ila wanasema ndio uzima acha n

Piripiri zinapalia ata ukienda kulikata nazo unasikia zinatoka🤣🤣🤣 ila wanasema ndio uzima acha nijaribu

Share 68 4.05K
babutale's Media: Kwa hapa mkaliwangu ni mwenye nyeusi wewe wako yupi😂😂😂 @sallam_sk kamchagua wa kuseleleka😂😂😂

Kwa hapa mkaliwangu ni mwenye nyeusi wewe wako yupi😂😂😂 @sallam_sk kamchagua wa kuseleleka😂😂😂

Share 151 5.1K
babutale's Media: Nimeambiwa kama nataka tuta timboni nifanye hivi. Mh nimeona acha nibaki na ndambi tu sio balaa ili

Nimeambiwa kama nataka tuta timboni nifanye hivi. Mh nimeona acha nibaki na ndambi tu sio balaa ili unaweza kunya ukiwa mazoezini🤣🤣🤣

Bangalore, India
Share 266 5.75K
babutale's Media: 💖💖

💖💖

Bangalore, India
Share 171 13.8K
babutale's Media: Happy birthday King @therealswizzz and get well soon King👑👑

Happy birthday King @therealswizzz and get well soon King👑👑

Bangalore, India
Share 31 2.91K
babutale's Media: Tunazulula tukiwa wagonjwa leo nafanya utafiti kwanini ndevu zangu zinakua nyeupe wakati me bado mt

Tunazulula tukiwa wagonjwa leo nafanya utafiti kwanini ndevu zangu zinakua nyeupe wakati me bado mtoto🤣🤣🤣 ukifika India pima kila kitu icho ndicho nilichoambiwa nifanye sasa natekeleza. Asante @shailaraveendran kwa msaada wako Mungu atakulipa

Bangalore, India
Share 71 5.76K
babutale's Media: Asante Mungu. Ila mimi safari hii msitu umepungua nazi maana nimevunja nazi loli mbili ili tu @mood

Asante Mungu. Ila mimi safari hii msitu umepungua nazi maana nimevunja nazi loli mbili ili tu @moodewji urudi na atimae umerudi sasa @hajismanara uje nikupe namba ya yule babu tumpe kazi ya uganga wa timu kabisa maana kafanya kazi kubwa🤣🤣🤣

Bangalore, India
Share 143 9.25K
Load More

Recent Medias Analytics

93.2KTotal Likes

4.61KComments

5669Sharings

Normal Best Filter

0 Mentions

23h Last Post

1 Hashtags

8 Check in

Last Location for babutale is Bangalore, India